Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari Wakuu! Kutokana na kudorola kwa biashara, Nimeamua kufunga Stationary! Kuna items ambazo zimebaki na ningependa kuziuza kabla ya kufunga! Nina Canon C-EXV33 Tonner 6 for imageRUNNER...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
kwa wale wanaohitaji mayai ya kisasa yanapatikana kila siku kwa jumla na rejareja.Napatikana Kibaha kwa mfipa. Mawasiliano..0716666954
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kwa vijana walio na mzoefu wa kuuza na kuchoma chips kuku na samaki awe mwaminifu na mwadilifu kwa maelezo zaidi 0773262576 Wakazi wa dar tu
2 Reactions
4 Replies
2K Views
nifanye nn ili biashara yang ya saloon ya kike isi dolole waungwana ndo kwanza nafungua
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wakuu. Tumeshuhudia kupata mtaji fedha imekuwa changamoto kubwa. Lakini pia, hakuna njia ya kuukuza mtaji kama hujawekeza kwenye mradi wowote. Hivyo Sisi Drones Online Ads tumekuwa kwa muda...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Offer offer offer! Samsung s7 earphones original zinapatikana dodoma na dar es salaam. Mkoani unatumia kuanzia 20pcs Bei 5500/= Call 0753063142/0653316087/0687418839 Whatsapp 0687418839
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari wana Jf naomba msaada kwa anayejua bei ya tecno W3 moshi Kilimanjaro please.
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza Nina 2plates mashine ya kuprint picha/kuweka picha kwenye nguo kama T-shirt n.Ni kubwa industrial machine ina sahani 2 ambazo unaweza kufanya kazi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanajamvi habari zenu polen na majukumu,naomba msaada kwa anaejua bei ya mashine ya kufyatulia tofali za aina zote zile za manual,diesel au umeme anisaidie na zinapopatikana tafadhari.
0 Reactions
22 Replies
25K Views
Bwana Yesu asifiwe na asalaam aleykum watu wa Mungu, Nipo hapa uwanjani naomba kujuzwa kama kuna mtu anauza speaker used kwa bei nzuri. Nahitaji kwa lengo la Injili, iwe moja ukubwa wa kuhudumia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
habari ndugu zangu., naomba msaada ntapata wapi mifuko kama hii kuanzia 1kg, 2kg&5kg kwa jumla tafadhal.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
habari wakuu kwa mtu anayehitaji mpunga wa kutoka mwanza (MISUNGWI) pls DM me. upo huko huko.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu liko shamba linauzwa, karibu na Mandela University; Kikwe village, ¾ acres land, Village Pipe of water,Open furrow water, Grid Electricity poles 1.5 kms, 300 mts from the main road, 200 mts...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Kabati Na top hapo nipo mbagala mbande top 120000/ Kabati laki mbili Na nusu vioo vya shelf ya kat vimevunjika mdau anaweza anaweza kuweka vingine mamba ni 0656560824
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu, Kichwa cha habari cha husika. Picha zina maelezo yote kama specs,screen size nk Laptop ipo Arusha mjini. Bei 170,000 net Mawasiliano njoo PM
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta fundi mtalamu atakatenifungia mashine yangu ya kukamua alizeti nipo arusha
0 Reactions
0 Replies
1K Views
inauzwa altezza CFH 541 cc1990 bei M6 pungu unaongea
1 Reactions
16 Replies
2K Views
habarini wadau, kama kichwa kinavyo jieleza, nahitaji kufanya biashara ya kuchukua mzigo wa rasta kiwandani na kupeleka mikoani nikauze kwa bei ya jumla, kama kuna mtu anafahamu utaratibu wa...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Za leo wakuu, Mimi ni mjasiriamali nipo dodoma,ninataka kufungua kiwanda kidogo cha kutengeneza furniture za kisasa lakini sina uzoefu wowote,,,,nataka kijana anayejua kutengeneza sofa za...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…