nyumba inauzwa millions 13 majohe

nyumba inauzwa millions 13 majohe

nyumba ya viumba vi3 mbele ina fremu ya biashara iliyokamili kwa biashara na kiwanja kikubwa chakutoa nyumba kubwa vinauzwa kwa pamoja kwa thamani ya sh 13million...Tunauza kwa bei hiyo kutokana na vyuma kukaza...Muhusika ni mimi wenyewe mwenye kuhitaji awasiliane nami kwa namba 0625474614 nitakuonyesha picha zote kwa whatsap!
NB:huku vyumba vya kupangisha ni dili hivyo ukijenga vyumba ukapangisha pia utaingiza pesa then nyumba ipo karibu sana na barabara hivyo gari inaweza kuingia mojakwamoja mpk ndani
ENEO HILI NI MAJOHE KWA NGOZOMA YAANI MAJOHE MJINI
weka picha hapa hapa tuone kama sina whatsapp
 
Nina eneo majohe kwa ngozonma nasikia majirani wamegeuza sehemu ya kutupa taka siku nikija ndio watajua tofauti kati ya kati ya don nyati na hennessy
 
Nyumba ya 13m...,

Picha yake ikija naomba mnitag wakuu.
 
mkuu mbona hiyo nyumba hapo ipo katikati ya majalala, ipo bondeni kabisa mvua ikinyesha inachukuliwa, mbona inaonekana ina vyufa nyingi hivyo, alafu imejengwa kwa udongo sio tofali... hata m2 sitoi kwa kweli
 
hunchback Dharau hazifai kabisa Leo kwa huyu kesho kwako!! Hata omba omba pia anatamani maisha kama yako jitahidi umsaidie na si kumdharirisha....Mola akuswamehe
Tatizo wabongo hatupendi ukweli, unaambiwa ukweli unaanza kutafuta sympathy. Kama eneo ni zuri kwa kupangisha ni vema ufanye hivyo kuliko kuuza. Period
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom