Nauza samsung j7 prime simu sawa na mpya cjaitumia sanaa
Internal storage 32 gb
Ipo poa kila kitu..
Finger print ipo safi pia.
Bei 400000 tyuu.
Nichek kwa izi namba 0716026555 na 0685 436 107
*Mzigo una mwezi tokea niununue, ni toleo jipya kabisa la Tecno Mobile
*sababu za kuuza ni matatizo yangu binafsi
*rangi yake_ blue_ flat shape
*finger touch sensor
*bila kusahau receipt na...
Eneo la kufugia lenye banda kubwa la design ya mabanzi na mabati,umeme wa solar na Maji ya kupump tayari kwenye tank la 5000ltr lipo tayari kwa kukodishwa kwa kodi ya 350,000 kwa mwezi au kuuzwa...
Kwa wale wanaopenda kuku nina majogoo saba machotara nawauza kila mmoja 25000 niko kibamba kwa mangi wanafaa kwa kuliwa a kufugwa wana kilo mbili na nusu kila mmoja karibuni 0765114158
Ilianza kama majaribio, Ila watu wameipokea vizuri. Biashara Network ina dalili za kuwa mtandao mkubwa Tanzania Unaokutanisha watu, Biashara na Wateja pamoja, Kujifunza na kushiriki vitu...
Nipo Dar,Kariakoo
Pc iwe ni ya 200,000 tu
Vigezo ni kuanzia 2gbRam kwa 300gb na kuendelea...
Wasiliana nami sasa hivi 0753093869 nanunua mda hu wala sio kesho.
UPCOMING EXAMS:
Now available 1 May – 30 June 2017
Early registration deadline: 28 February 2017
Be recognized among the most-qualified and sought-after IS audit, control and security...
Husika na kichwa cha hapo juu nauza sm samsung s 5 imevunjika display kwa lugha nyepesi hakionyeshi kabisa ila ukipigiwa sm unaongea kama kawaida bei sh 75000 nipo dsm
0713091291
Habari wana Jf kama kichwa hapo juu nina Ipad ina icloud nahitaji mtu mwenye uwezo wa kuondoa hiyo icloud niko Mwanza, tafadhari kama upo nicheki tufanye kazi.
kama unaweza kutengeneza demo ya website ya dental clinic kwa kutumia wordpress na joomla.
Sample sites
Dentist in Bundoora | Bundoora Family Dental Clinic - Our Dental Clinic
The Periodontist...
Meza bei 500,000 Tsh ipo Mbezi Luis
Pazia nzito, mita 1.5, zipo piece 6 zinafanana na zingine piece 4 zinafanana. Bei 30,000 tsh piece moja
Zipo na bomba za pazia
SOLD SOLD SOLD
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.