Brain Hacker
Member
- Apr 12, 2016
- 23
- 11
habari wakuu
kwa mtu anayehitaji mpunga wa kutoka mwanza (MISUNGWI) pls DM me. upo huko huko.
kwa mtu anayehitaji mpunga wa kutoka mwanza (MISUNGWI) pls DM me. upo huko huko.
Ku-DM ni kufanyaje mkuu? Wawekee na bei kabisa wadau wajue. Naona unajiwahi usijekukutwa na mafuriko ya mpunga ya mwaka huu!!habari wakuu
kwa mtu anayehitaji mpunga wa kutoka mwanza (MISUNGWI) pls DM me. upo huko huko.
(DM) i meant kuandika PM - Private message mkuu.Ku-DM ni kufanyaje mkuu? Wawekee na bei kabisa wadau wajue. Naona unajiwahi usijekukutwa na mafuriko ya mpunga ya mwaka huu!!