Mzigo mpya wa iphone umeingia mjini

Mzigo mpya wa iphone umeingia mjini

Slimmyweezy

Member
Joined
Nov 1, 2014
Posts
75
Reaction score
98
Offer offer offer!

Samsung s7 earphones original zinapatikana dodoma na dar es salaam. Mkoani unatumia kuanzia 20pcs
IMG_7347.jpg
IMG_7338.jpg
IMG_7337.jpg


Bei 5500/=

Call 0753063142/0653316087/0687418839

Whatsapp 0687418839
 
Mbona umesema iphone alafu unatuonyesha earphones
 
Unakutana na fungus za maskioni; bongo bwana krb 90% ni vitu used
 
Muhimu kujiongeza.
5,500/= ni kama dola 2 senti 45. Earphone ya dola mbili, imeshasafirshwa mpaka Afrika maana yake ni gumashi
 
Ziko guuda wasiwasi wako tu..wabongo stress tupu..kitu kikiwa bei juu watasema zikiwa bei chini bado watasema..bongo bahati mbaya..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom