3 3ds New Member Jun 13, 2016 1 0 Jun 18, 2016 #1 nifanye nn ili biashara yang ya saloon ya kike isi dolole waungwana ndo kwanza nafungua
Farudume12 JF-Expert Member Jan 7, 2016 621 346 Jun 19, 2016 #2 3ds said: nifanye nn ili biashara yang ya saloon ya kike isi dolole waungwana ndo kwanza nafungua Click to expand... Waajiri watu wenye ufaham na iyo kazi
3ds said: nifanye nn ili biashara yang ya saloon ya kike isi dolole waungwana ndo kwanza nafungua Click to expand... Waajiri watu wenye ufaham na iyo kazi
shin gun wook JF-Expert Member Sep 26, 2017 995 1,511 Jan 18, 2018 #4 weka wafanyakazi walio changamka .wenye lugha nzuri kwa wateja.wakarimu.zingatia usafi