Picha: Natafuta speaker na microphone

Picha: Natafuta speaker na microphone

PastorA

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2016
Posts
361
Reaction score
275
Bwana Yesu asifiwe na asalaam aleykum watu wa Mungu,

Nipo hapa uwanjani naomba kujuzwa kama kuna mtu anauza speaker used kwa bei nzuri. Nahitaji kwa lengo la Injili, iwe moja ukubwa wa kuhudumia watu 100-300 na wireless microphone zake pia iwe ya kucharge au la!.
64fe07fa5881ab025ec86dd8c264d20a.jpg

1872e16c513fe555b0df80849ce1fb46.jpg
 
Back
Top Bottom