Kweli mkuuNafikiri kama hukunielewa hv maana jibu bado halijajitosheleza
AINA GANI?
BEI GANI?
MAENEO ZINAPOPATIKANA
Nafikiri kama hukunielewa hv maana jibu bado halijajitosheleza
AINA GANI?
BEI GANI?
MAENEO ZINAPOPATIKANA
aksante sana kaka so if pocble naomba contacts za hao jamaa maana kwa sasa niko mkoaninenda sido,au mwenge pale kalibu na jkt wanatengeneza,
Mashine zinazozungumziwa hapa ni zipi?
Zakawaida? Au
Interlocking bricks machine?
Fafanua hapo kidogo mkuu ili usaidike kiurahisi FRELIMO
aksante sana kaka so if pocble naomba contacts za hao jamaa maana kwa sasa niko mkoani
ndugu siwezi fafanua coz hata hiyo interlocking bricks siijui na pia sijui tofauti yake na zile za kawaida naami unaweza nisaidia ufahamu wa hiyo kitu,but its better to know the price of both
Nashukuru kwa wote walionisaidia michango ya maelezo ila jibu nimelipata kwa mashine hiyo ni tsh 500000 SIDO,Kwa kupata contcts za mikoani google www.sido.go.tz.Aksanten
Habari mkuu,hizi mashine unazo za mkono au vibrated?na ya kuchanganya mchanga na cement pia unazo?naomba ni pm specification zake na bei.Ninazo mkuu znz dukani kwngu
uuuuHabari mkuu,hizi mashine unazo za mkono au vibrated?na ya kuchanganya mchanga na cement pia unazo?naomba ni pm specification zake na bei.