Wana jf kwa yeyote mwenye uelewa kuhusu dawa ya kupulizia shambani kuua magugu naomba anijuze. Ni dawa aina gani inafaa kutumika (kwenye shamba linalotarajiwa kupandwa legumes), kiwango cha...
Moja ya mambo muhimu katika ukuwaji wa biashara ni utunzaji makini wa kumbukumbu za biashara yako, kuanzia mauzo, matumizi, taarifa za stock uliyonayo, taarifa za madeni ya wateja, na repoti...
Tahadhari sitaki gari za mikoani, sitaki vigari vyenu vya kiboya hivi sijui vits,staret,paso, pote, sijui takataka gani nataka gari kidogo yenye ahueni na inayoweza kusafiri.
Namba siyo issue ila...
PASI YA KISASA KABISA WARRANT MWAKA MMOJA
BEI:50000
MICROWAVE OVEN
Tsh :200,000
Contact :0714417739 /0763251378 /"]www.jamiiforums.com/mobile-gallery/c46077d8140667ecfa88c9657cd55c2a.jpg[/IMG]
Habari wana Jf.
Natafuta nyumba ya kupanga maeneo yafuatayo
-Kimara
-Mbezi zote
-Africana mpaka bunju
-Goba
Budget yangu maximum ni 250,000/=
Mwenye nyumba maeneo hayo aje Pm yutajenge.
Habari zenu wajasiriamali.
Natafuta chain saw ya kukodisha kwaajili ya kukatia miti shambani kwangu. Nipo dar lkn nitafanyia kazi ya kukata miti Mkata, Handeni Tanga.
Kwa anaeweza kuniuzia pia...
Habari wadau wajf. Kama kuna boss yeyote au unamfahamu mtu mwenye bajaji ya kazi nahitaji ili nifanye kazi nipo full nikiwa na leseni na mzoefu wa hii kazi. Nawakirisha
Ipo Bagamoyo mjini, mita 100 kutoka round about kama unaelekea Ruvu na imefec lami..bei Tsh 550ml
Kwa maelezo zaidi au kuja kuona wasiliana nami kwa 0756060183
Inahitajika RAV 4 ya kuanzia mwaka 2006 mpaka 2008 alimaarufu miss tz. 1. Bajeti milioni 15 - 18.
2. Km zisizidi 90,000.
3. Namba kuanzia D hata C iliyo bomba itafikiriwa.
4. Isiwe imepata ajali...
Nashida na TVS,PLATINA,DUMA,BOXER na aina zingne ambazo ni simple kwa ajili ya matembezi iwe kwenye hali nzuri burget ni lak 7 to 1 mil inategemea na chombo nipo temeke dsm(wailes) nichk 0718163740
Naam tumemaliza salama lakini niwataarifu na niwaombe muhudhurie katika Dua itakayofanyika jumamosi hii ya tarehe 20/01/2018 ufanye huu mwaka kuwa ni mwaka wa mafanikio kwako kwa kutaka radhi...
Jamani natafuta MTU anayeuza laptops za mtumba kwa being ya jumla.Nataka kuanzia 15-30.. Pm namba yako plz au weka hapa Nina LA ofisi na namba ya simu...thank u!
Brand LGP
size 32 inches
Ina hdmi port 3, vga port 1, usb port 1, avi n.k
Haina remote nimepoteza wakati nahama hivyo ukichomeka flash au external huwezi kunavigate kuselect kilichomo.
Mambo...
wadau naomba kufahamu maeneo mbali mbali hapa nchini bei ya mahindi ni shilingi ngapi?
natafuta soko zuri maana nina mzigo wa stock, maeneo nilipo bei ipo chini sana ni tsh 48,000/=
msaada wadau!!!
Mfanyabiashara wa Livestock Trader kutoka Marangu Moshi , Arbogast Morewa alikabidhiwa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 10/= baada ya kuibuka mshindi wa kwanza wa mwezi katika kampeni ya...