Niuzie gari kwa milioni tano

Niuzie gari kwa milioni tano

kzba

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
1,355
Reaction score
793
Tahadhari sitaki gari za mikoani, sitaki vigari vyenu vya kiboya hivi sijui vits,staret,paso, pote, sijui takataka gani nataka gari kidogo yenye ahueni na inayoweza kusafiri.

Namba siyo issue ila isiwe A wala B ila iwe Toyota.
Na ukiniuzia sharti uniwekee full tank.

Nahitaji only watu ambao wanataka tufanye biashara

Masihara sitaki pesa iko mkononi

Asanteni.
 
kuna jamaa anauza alteza number DE..iko dar milioni 7 nzima
 
huwezi kupata gari unayotaka kwa hiyo budget uliyopanga na masharti lukuki hasa kipindi hiki cha masika halafu ndinga kama starlet unaijua vizuri?
 
huwezi kupata gari unayotaka kwa hiyo budget uliyopanga na masharti lukuki hasa kipindi hiki cha masika halafu ndinga kama starlet unaijua vizuri?
Sawa nimekusikia ila muko wengi kama ww
 
Back
Top Bottom