Biashara ya strawberry

Biashara ya strawberry

alikhalef

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2012
Posts
717
Reaction score
75
Nilikuwa nahitaji Strawberry kama box moja hivi wapi naweza kupata kwa bei nzuri?

natanguliza shukrani wakuuu.
 
Kaka hiyo bei inapungua japo kidogo ?

nadhani,sababu zipo hapa ofisini,kuna kampuni hapa inalima matunda tofauti tofauti,kama upo serious chukua namba yangu 0717567879 nikuulizie vizuri kuhusu bei
 
Je soko la Kisutu umejaribu kupita ,pia pembezoni mwa mtaa wa Zanaki huwa kuna watu wanuza jaribu kupiyia maeneo hayo
 
nadhani,sababu zipo hapa ofisini,kuna kampuni hapa inalima matunda tofauti tofauti,kama upo serious chukua namba yangu 0717567879 nikuulizie vizuri kuhusu bei
Naweza kuchukua namba yako nami ili nikupigie uniulizie bei?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom