Englishlady
JF-Expert Member
- Apr 11, 2013
- 2,734
- 3,652
Habari zenu wajasiriamali.
Natafuta chain saw ya kukodisha kwaajili ya kukatia miti shambani kwangu. Nipo dar lkn nitafanyia kazi ya kukata miti Mkata, Handeni Tanga.
Kwa anaeweza kuniuzia pia anakaribishwa.