HI THERE!
Kama utakuwa unahitaji kutumia internet bure kabisa kwenye SIMU AU PC(COMPUTER)
Hii ni huduma ninayo kupa kwenye simu yako au computer ambapo utakuwa na uwezo wa kuingia internet bila...
Natafuta Frem ya biashara Eneo la (1)Mwenge kwa kuuzia bidhaa mchanganyiko za matumizi ya nyumbani(bidhaa za vyakula).Liwe ule mtaa ambao uko busy"kuanzia ilipo AZANIA BANK KUJA HADI ILIPOKUWA...
Ninahitaji Fridge, ndogo ya milango miwili kwa ajili ya matumizi binafsi ya nyumbani kama kuhifazia chakula na vinywaji pesa niliyonayo ni 200,000/=
Naomba mwenye kujua bei halisi anijuze..
Ni muhudumu wa afya (M.A),
Anatafuta mtu anayefanya kazi serikalini(idara ya afya) ili kuweza kubadilishana kituo cha kazi.
Anafanya kazi huko mkoa wa Mtwara,na anatafuta anayefanya kazi mkoa wa...
Shamba lenye uzio (block fenced) la ukubwa wa heka 2.5, lipo Dar - Madale - Kisauke likiwa na michungwa na mabanda ya kufugia kuku (full equiped with water drinkers) kuku wanaoweza kufikia elfu...
Hello guys..
Mm ni mfanya biashara ya mahindi kutoka Tanzania Nina Tani 10. Yaan gunia 1000 nilikuwa naomba kujua bei hapo Kenya, Rwanda na Uganda??
Kwa yeyote anaye tokea maeneo hayo naomba...
Jipatie senene watamu wenye virutubisho (viungo) vya kutosha
kwa wakazi wa Dar es salaam Tunapatikana mikocheni B, mabibo na mbagala kiburugwa pia kwa mikoani tunatuma
Bei ni 7000/= unaletewa...
Habari zenu waungwana,mie ni kijana mwenye ujuzi wa taaluma ya ufundi umeme,
-Nafanya wiring katika nyumba
-Natatua hitilafu za kiumeme katika nyumba
-Nachora na Kudizaini michoro mbalimbali ya...
Jamaa yangu anatoka mkoani anahamia dar. Anahitaji nyumba maeneo ya kuanzia tabata bima kwenda segerea mpaka tabata chang'ombe. Anasema offa yake ni tsh 300,000 kwa mwezi.
Nyumba iwe na vyumba 3...
=Nimeitumia kwa mwezi mmoja tu
=haina tatizo lolote
=imewekewa protector ya kulinda kioo
=Lengo la kuuza:Nahitaji fedha ya haraka ili nitatue tatizo lililonipata
=Dukani inauzwa 300000/=
=risiti...
Farm for Lease
A 2.5 hectare brick fenced farm at Madale Kisauke in Dar is for Lease.
The farm has a chicken house that is fully equipped with water drinkers. It can accommodate up to 10,000...
Najitokeza kwa mara nyingine kutangaza kuuza kiwanja changu kilichopo dumira wilaya ya kilosa mkoa wa morogoro.
kiwanja hiki kina ukubwa wa hatua 30 urefu na hatua 20 upana.Kipo eneo zuri...
Morning guys nani kuku wa nyama 400 nahitaji msaada wa soko kwa yoyote mwenye soko au connection ya uhakika kuuza hawa kuku bei 6500,wanapatikana dar es salaam
Shukran sana.
*Mawasiliano*...
#Website is heart of any #business
Without #website #business will not survive in digital world
Get your business website today from us at Very affordable price with - Domain name
- Hosting
-...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.