Nahitaji bajaji ya kufanyia kazi

Nahitaji bajaji ya kufanyia kazi

shujaa mjinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2017
Posts
376
Reaction score
444
Habari wadau wajf. Kama kuna boss yeyote au unamfahamu mtu mwenye bajaji ya kazi nahitaji ili nifanye kazi nipo full nikiwa na leseni na mzoefu wa hii kazi. Nawakirisha
 
Habari wadau wajf. Kama kuna boss yeyote au unamfahamu mtu mwenye bajaji ya kazi nahitaji ili nifanye kazi nipo full nikiwa na leseni na mzoefu wa hii kazi. Nawakirisha
"Unawakirisha" kutoka wapi?

Njoo hapa Mkuu Rombo usukume hii San Lg yangu. Mahesabu utanipa shingapi kwa siku?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom