Vodacom Tanzania
Official Account
- Aug 12, 2013
- 324
- 126
Mfanyabiashara wa Livestock Trader kutoka Marangu Moshi , Arbogast Morewa alikabidhiwa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 10/= baada ya kuibuka mshindi wa kwanza wa mwezi katika kampeni ya [HASHTAG]#PesaNiMPesa[/HASHTAG]. Kupata huduma tupatie taarifa zako na biashara yako kupitia vda.cm/jisajilihapa na tutakufikia, pia wafanyabiashara wa 5 walikabidhiwa kiasi cha shilingi milioni 1/= kila mmoja na wengine zaidi ya 500 wakipata zawadi mbalimbali za kila siku na kila wiki. Changamkia fursa ya kuata huduma hii ikurahisishie kpokea malipo bila makato.
Mshindi wa kwanza wa mwezi aliyejishindia Tsh Milioni 10.
Washindi zaidi wa Tsh Laki moja kila mmoja wameendelea kupatikana.
Mshindi wa kwanza wa mwezi aliyejishindia Tsh Milioni 10.
Washindi zaidi wa Tsh Laki moja kila mmoja wameendelea kupatikana.