Huduma hii inagharimu tzs 55,000/ =
Unapata free hosting mwaka mzima
Tunahamisha post zako zote kutoka blogger kuja WordPress
Unapata free domain pamoja na blog design.
Wahi sasa ofa ni ya mda...
*Slaus Technologies Tz1 ONLINE EDUCATION*
WANAKULETEA OFA ZIFUATAZO...
[emoji432] *TUNAFUNDISHA JINSI YA KUDISGN BLOG NA WEBSITE* na njinsi ya kukulipa ukiwa na blog na Youtube Channel kwa *Tsh...
Habari zenu wanajf!!
Niende moja kwa moja kwenye mjadala,,niseme tu ukweli mimi ni mpenzi wa Mungu ,watu wa Tanzania tuna tatizo la kunuka kwapa na kinywa nasema nchi yangu maana zingine sijuii...
Habari zenu wakuu:
Karibuni kujifunza kutengeneza mfuta ya kupakaa
Aina za mafuta hayo
Mafuta ya kuondo chunusi
Mafuta ya kungarisha ngozi
Mafuta ya kuweka rangi moja mwili mzima bira kuchubua...
Habari.
Natafuta mtengeneza blender yenye uwezo wa ku kamua na kutengeneza juice Lita 20 au 15 kwa mara moja.
Najua SIDO wanazo lakini bei zao kidogo zipo juu.
Tuwasiliane kwa mdau anayeweza...
Habari wanajamvi. Natafuta sehemu naweza kununua vifaa kama uzi, sindano na kapeti znazotumika kutengeneza mazuria kwa bei ya jumla hapa dsm, mombasa au zanzibar. Natanguliza shukrani
Sent using...
Kama kichwa Cha habari kinavyosema ndugu zangu tupo tuna company ya outside cartering service pia tuna out source restaurant na kufanya function za nje , kama meeting ,harusi, birthday,msimba na...
Kwa wafugaji wa kuku njoo pm kuku bora kabisa aina ya kuroiler wanapatikana na ushauri wa kitaalam unapatikana bure kabisa ni kuku chotara wa mayai na pia ni wazuri na watamu sana kwa...
Wana jf kwa yeyote mwenye uelewa kuhusu dawa ya kupulizia shambani kuua magugu naomba anijuze. Ni dawa aina gani inafaa kutumika (kwenye shamba linalotarajiwa kupandwa legumes), kiwango cha...
Moja ya mambo muhimu katika ukuwaji wa biashara ni utunzaji makini wa kumbukumbu za biashara yako, kuanzia mauzo, matumizi, taarifa za stock uliyonayo, taarifa za madeni ya wateja, na repoti...
Tahadhari sitaki gari za mikoani, sitaki vigari vyenu vya kiboya hivi sijui vits,staret,paso, pote, sijui takataka gani nataka gari kidogo yenye ahueni na inayoweza kusafiri.
Namba siyo issue ila...
PASI YA KISASA KABISA WARRANT MWAKA MMOJA
BEI:50000
MICROWAVE OVEN
Tsh :200,000
Contact :0714417739 /0763251378 /"]www.jamiiforums.com/mobile-gallery/c46077d8140667ecfa88c9657cd55c2a.jpg[/IMG]
Habari wana Jf.
Natafuta nyumba ya kupanga maeneo yafuatayo
-Kimara
-Mbezi zote
-Africana mpaka bunju
-Goba
Budget yangu maximum ni 250,000/=
Mwenye nyumba maeneo hayo aje Pm yutajenge.
Habari zenu wajasiriamali.
Natafuta chain saw ya kukodisha kwaajili ya kukatia miti shambani kwangu. Nipo dar lkn nitafanyia kazi ya kukata miti Mkata, Handeni Tanga.
Kwa anaeweza kuniuzia pia...