Natafuta vifaa hivi vya kutengenezea mazuria

Natafuta vifaa hivi vya kutengenezea mazuria

mangi meri

Senior Member
Joined
Aug 13, 2017
Posts
116
Reaction score
151
Habari wanajamvi. Natafuta sehemu naweza kununua vifaa kama uzi, sindano na kapeti znazotumika kutengeneza mazuria kwa bei ya jumla hapa dsm, mombasa au zanzibar. Natanguliza shukrani
IMG-20170816-WA0009.jpg
IMG-20170816-WA0008.jpg
IMG-20170816-WA0007.jpg
IMG-20170816-WA0006.jpg
IMG-20170816-WA0005.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
vipo duka la nyuzi kituo cha daladala ya kwenda kimara na makumbusho kariakoo upande wa pili wa msimbazi dsm
 
Back
Top Bottom