Ofisi inauzwa Mbeya mjini

Ofisi inauzwa Mbeya mjini

Jamaa anauza ofic!! Iko smart na hadhi ya kuridhisha
Vilivyomo!!

1.Kabati la kioo(aluminiam)-250000
Computer destop(400,000) hp hd400Gb 2gb processor iliyojaa nyimbo na movies na mengineyo

2.Amplifier ya mtumba kubwa (300,000)
Wallbord jekundu lenye thaman ya 150 000/=

3.Speaker ya kati (130,000)

4.CD-Thaman ya (70000)

5.Meza ya mbao (60000)

6.Viti3 (36000)

7.Vifaa vya usafi

Vyote hivo kwa sh mil 1 na laki tatu tu!!...Cash
Ipo kabwe ,....na pia ipo sehem nzuri ambayo unaweza badilisha au fanya biashara nyingine
Mawasili mtafute kupitia
0716215174
Mkuu mbona nkpga naambiwa number haipo
 
de0310ea4263c0936d6ceec67038599e.jpg


2dbcbedfa8d904c115f38b9d5ef87770.jpg


c907e202b95795de1b79bbed379118e5.jpg


e21d1e709ba2dcf68c860581e8fcf4f8.jpg


a22160a8f40c7703fa0cd494cb528b18.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom