C CWR2016 JF-Expert Member Joined Dec 14, 2017 Posts 2,793 Reaction score 6,414 Jan 19, 2018 #1 Habari. Natafuta mtengeneza blender yenye uwezo wa ku kamua na kutengeneza juice Lita 20 au 15 kwa mara moja. Najua SIDO wanazo lakini bei zao kidogo zipo juu. Tuwasiliane kwa mdau anayeweza kutengeneza. Nipo Dar es salaam.
Habari. Natafuta mtengeneza blender yenye uwezo wa ku kamua na kutengeneza juice Lita 20 au 15 kwa mara moja. Najua SIDO wanazo lakini bei zao kidogo zipo juu. Tuwasiliane kwa mdau anayeweza kutengeneza. Nipo Dar es salaam.
moe junior JF-Expert Member Joined Mar 7, 2014 Posts 910 Reaction score 947 Jan 19, 2018 #2 Kuna jamaa yuko vizuri sana alintengenezea ile ya kuparaza chakula cha kuku.... weka mawasiliano yako nikuunganishe nae labda mtaelewana.
Kuna jamaa yuko vizuri sana alintengenezea ile ya kuparaza chakula cha kuku.... weka mawasiliano yako nikuunganishe nae labda mtaelewana.