Habari wana janvi natumain mu wazima wa afya.
Karibu tujifunze kutengeneza bidhaa zifuatazo kwa punguzo kubwa.[emoji617] la bei. Na mafunzo yote yatafanyika online kupitia whatsap...
Natangaza kuuza kiwanja changu chenye ukubwa wa hatua 20 upana na hatua 30 urefu,Kipo maeneo dumira morogoro barabara iendayo kilosa.Bei ni makubaliano.kiwanja kipo eneo zuri kwa makazi na...
Noah voxy inauzwa ipo katika hali nzuri ,matumiz yake ni cormecial ingawa plate namba zake hazijabadilishwa kuwa kibao cheupe na haijafanya biashara
gari inapatikana chikuyu dodoma
kwa...
Husika na kichwa cha habari hapo juu. Nahitaji mashine (mashine ya bam bam) ya kufyatulia tofali za Inch 5 kwa gharama ya laki moja tu.
Iwe katika hali nzuri na ikiwa na vibao,itapendeza zaidi...
Amiba ni ugonjwa gani?
ni ugojwa ambao husababishwa na bakteria aitwaye Ectamoeba Histolika ambaye huishi katika kinyesi cha mwanadamu. Ugonjwa huu huweza kuhathiri hadi uti wa mgongo pamoja na...
Achana na kilimo cha kutegemea mvua
Sasa nawaletea GREENHOUSEDrip irrigation , drip tapes na accessories zake na reserve tank la lita 3500 kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji kisicho na stress...
Asalam alaykum ndugu zangu,
Narudi tena baada ya kutopata mafanikio katika uzi wa kwanza.
Bila kuathiri maelezo katika kichwa cha habari hapo juu.
Nahitaji kununua gari kwaajili ya abiria.Gari...
Nauza Softwears hizi zikiwa full version na kufanya kazi kwa kila controller kwa 100% Kwa MAC/WINDOWS pia unaweza kurecord mixing zako MP4 HD 1080(Full HD) pia Zinakua na skin 3D zenye mashine za...
nyumba inapangishwa arusha sanawari. Ni nyumba inayofaa kwa biashara kama dispensary au hotel au day care au kwa kulala. ina vyumba viwili, sebule, jiko, choo, bafu na store na eneo la wazi. sio...
karibuuni sana kujipatia bidhaa zilizotengenezwa na mitishamba asilia za kupunguza tumbo na unene..
pia kwa wale wanaosumbuliwa na upungufu wa nguvu za kiume tiba ipo kwa bei nafuu
Wanahitajika maafisa mikopo mikoa ya Dar na Arusha
VIGEZO
Uwe na uwezo mzuri wa kuongea na kujieleza kwa kujiamini mbele za watu wengi.
ELIMU
Uwe umemaliza kidato cha nne
MSHAHARA
Tunalipa...
Wasalaam, mashine ya kukamua juisi ya miwa kwa kutumia umeme, inauzwa sh. Laki saba tu, ipo Sinza palestina. imetumika miezi miwili tu, kwa mawasiliano zaidi piga 0714264484.