Suluhisho Lako Lililo Karibu Yako Kwa Utatuzi Wa Kiufundi Na Ushauri , Mafundi (Technician ) Na Wasimamizi (site foreman) Tulio Nao Ni :
1. Umeme (Electrical Installations)
2. Ujenzi Majumba...
Shamba lenye uzio la ukubwa wa heka 2.5, lipo Dar - Madale - Kisauke likiwa na mabanda ya kufugia kuku yaliyokamilika kwa vifaa vyote kwa kuku wanaoweza kufikia elfu kumi linakodishwa. Eneo ni...
Habari wapendwa
Natafuta mtu mwenye mtaji mdogo kama mimi tuungane kufanya biashara mtaa wa kongo kariakoo pana meza inakodishwa na kwa siku inalaza faida kuanzia elfu hamsini na kuendelea, kwa...
Kuna mteja wa startimes kaja ofisini kwangu hapa,bahati mbaya au nzuri nimekosea namba ya acc no.yake ya kadi yake ya startimes,sasa nikawa nimefanya malipo kwenye akaunti tofauti.\
Bahat...
MAZIWA MTINDI 2500
FRESH 2000
UNARUHUSIWA KUPIMA KAMA YANA MAJI
TUNALETA MPAKA ULIPO KUANZIA LITA 5 NA KUENEDELEA
TUNAPATIKANA MBEZI YA KIMARA
0787 429 104
DSM TZ.
Karibuni nyote makanisa watu binafsi makampuni tunatengeneza vyombo vya umeme kama tv, subwoofer, redio za gari na kawaida, booster, ampilifaya, equalizer, crossover, spika...
mimi ni mkulima mdogo mdogo nafanyia shughuri zangu za kilimo mkoan Morogoro wilaya ya Mvomelo maeneo ya manungu tulian (karibu na kiwanda cha Mtibwa suger), nimelima mpunga heka sita (6) na...
Yes...natafuta decorder ya AzamTv used kwa bei nafuu. Hii ni kwa Dar na maeneo ya Karibu. Kama unayo nicheck kwenye 0715719171. Kiwe katika hali nzuri na bei nafuu.
Kama kichwa Cha habari kinavyosema tupo hpa dsm kwa kutoa uduma hiyo kwa wanaohitaji ,pia tunachukuwa tender za mwaka kwenye campuny binafsi na tasisi zote ,mikutano pamoja na harusi na etc tupo...
Ndugu wapendwa ongera kwa kumaliza salama mwaka na kuanza mwaka mpya ,wenye baraka tele .nianze na mada mim nasupply viatu vya ngozi Aina zote kutoka namaga Kenya unaletewa ulipo na mkoani...
MAHINDI yanauzwa Tsh 470/kg
Ziko tani 400
Mzigo unapatikana tabata- Dar es salaam.
MAGUNIA yaliyotumika mara 1 yanauzwa.
Yako 2200
Bei kwa gunia 1 ni tsh 2500
Magunia yanapatikana tabata- Dar...
Kwenye group la Whatsapp la MICHANGANUO ONLINE, ambalo tunakuwa na mafunzo ya semina kila siku usiku saa 3 mpaka saa 4, baada ya kuanza wiki iliyopita washiriki waliomba wapate kwanza muda wa...
Mtu aliyepo kwenye au aliye na contacts za watu wanaofanya kazi katika kiwanda cha Sukari kinachoanzishwa Bagamoyo na Bhakhressa ( Bagamoyo sugar company Limited) katika eneo LA Makurunge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.