Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

MILIKI BLOG YAKO SASA [emoji117]Tunatengeneza blog za kisasa kwa bei poa tsh 12,000/- [emoji117]Tunatengeneza youtube channel tsh 15,000/- Wahi kabra ofa aijaishaaaaaaaa Call...
0 Reactions
0 Replies
699 Views
Habari wakuu. Nahitaji gari ya IST namba ianzie D na kilometa zisizozidi 100,000. Gari isiwe na tatizo lolote lile. Vibali vyote viwepo. Bajeti yangu ni Milioni 7 cash. Nipo Mbezi beach...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu Nawasalimu Kama nilivyo ainisha hapo juu, nahitaji piki piki kwaajili ya shughuli zangu za kilimo na Ufigaji. Kilingana na eneo ninalofunyia shughuli hizi kua mbali na makzi yangu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za majukumu waungwana? Natafuta chumba kimoja tu cha kupanga maeneo ya ubungo plaza kwa bei ya 50,000-80,000 kisiwe mbali na barabara ya kuelekea city centre. Mwenye nacho ani PM!
0 Reactions
1 Replies
762 Views
Sold
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Rafiki Je, unamgahawa, sherehe ya aina yoyote, au unapenda kunywa juice safi yenye radha halisi na familia yako, je wewe uko mwenyewe home na unapenda juice halisi ya matunda, Tunatengeneza na...
1 Reactions
11 Replies
53K Views
Mimi ni RAIA mwema kabisa kutoka Tanzania-Kigoma,so ningependa kwa wataalam wanifahamishe bei ya vitu vifuatavyo na eneo vilipo. 1)Engine ya Toyo yenye 200cc na shaft yake. 2.Tairi za pikipiki...
0 Reactions
0 Replies
735 Views
Mimi ni fundi umeme wa nyumbani na viwandani. Call me 0769233063/0678278811
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mm ni fundi UMEME WA MAJUMBANI na VIWANDANI call me 0769233063/0678278811
0 Reactions
0 Replies
4K Views
EKU345 Academy ni center iliyoko Mwenge nyuma ya TRA na inatoa huduma zifuatazo; 1. Pre-Form 5 kwa combinations zote. 2. QT (1&2) pamoja na Reseaters 3. Tuition kwa wanafunzi wanaosoma day. 4...
0 Reactions
0 Replies
7K Views
Habari members. Natafuta kituo cha mafuta (petrol station) cha kukodi sehemu yeyote Tanzania hasa mikoani nje ya DSM. Kituo kiwe kinamilikiwa na mtu BINAFSI (Siyo kumilikiwa na makampuni ya mafuta...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari members. Natafuta kituo cha mafuta (petrol station) cha kukodi sehemu yeyote Tanzania hasa mikoani nje ya DSM. Kituo kiwe kinamilikiwa na mtu BINAFSI (Siyo kumilikiwa na makampuni ya mafuta...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu nauza maziwa ya Ng'ombe, fresh na mtindi. Ninauza kwa oda na utaletewa popote pale ndani ya jiji la Dar es salaam kama ukitoa oda kuanzia maziwa lita tano. Bei ya maziwa fresh ni Tsh...
3 Reactions
28 Replies
8K Views
A,aleykum warahmatullah wabarakatu.Ijumaa Kareem .Naam nimekuwa nikizungumzia Mara kwa Mara katika mtandao huu mambo tofauti tofauti lakini moja ya jambo nililokuwa nazungumzia ni habari za...
0 Reactions
3 Replies
13K Views
NINA KILO 50 ZA MICRO WAX KWA ANAYEHITAJI ANIFATE PRIVATE KWA BEI NA MAELEZO MENGINE
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nahitaji kuagiza incubator ya mayai 1000 china,vipi kuhusu ushuru wa kodi ifikapo tanzania mwenye kujua kuhusu kodi anieleweshe ili niwe na uhakika
1 Reactions
0 Replies
2K Views
anza-mwamba academy center tunafundisha program ya pre-form v na wanaorisiti kwa mwaka 2018 masomo yanayofundishwa kwa pre-form v ni: 1. advanced chemistry 2.advanced biology 3.advanced physics...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Registration Number: T832CVJ *VEHICLE DETAILS* Make: Toyota Model: Passo Model Number: DBA-KGC10 Body Type: Station Wagon Colour: Blue Class: Light Passenger Vehicle (Less than 12...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari jf! Mada inajieleza.Kozi ninazotoa ni kumuandaa bint katika maisha ya ndoa.Kumpa mbinu za kuishi na mume bila migogoro. Kumfundisha sex position nzuri zitakazo mpagawisha mumeo...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom