Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari. Kwa yeyote anayeweza kupata mbegu za nyonyo (mbarika) naomba tuwasiliane kwa mazungumzo ya kibiashara.
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Nataka kununua mashine ya kuuzia huduma za kifedha Mf. Luku,m-pesa, dawasco, ving'amuzi, Ipi inafaa na bei zake
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wapendwa nimetoa hii post Mara kadhaa nawakumbusha tena kuwa tunatoa huduma hiyo kwa ubora wa khari ya juu popote ulipo pia tunaomba tenda ya mwaka na kuendelea kadri utapotuitaji tunapatika hapa...
0 Reactions
5 Replies
915 Views
Tunazo tv za kila aina karibuni wote tunapatikana kkoo msimbaz na China Plaza FL ya pili ukiagza tunakuletea ulipo mda wowote sisi ni huduma kwanza malipo baadae free delivery Contact :0714417739...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
[emoji91][emoji91][emoji91] Iphone 6 64gb USED Condition: good condition Price 650k : negotiatable Serious buyer inbox me 0714011572(whatsaap only)
0 Reactions
6 Replies
1K Views
PAUA NA JMK ROYAL SERVICES Agent wamabati ya sunshare(agent noA-002)VIP,quansheing,Anxifa bati kwa price list ya kiwanda. huduma tutoazo kwa wateja wetu. -Bati za aina zote kwa price list ya...
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Nahitaji laini ya tigo pesa Habari nahitaji laini ya tigo pesa kama unayo basi tuwasiliane japo hakikisha una document zote ulizosajilia. 0756587380 Niko DSM
0 Reactions
3 Replies
829 Views
Radio Spika Majiko Feni Taa Pasi Ulizia kitu ambacho hujakiona hapo, bei zilizobqmdikwa ni za jumla ukitaka 1 utaongeza pesa kidogo tu. Karibuni sana 0625547181
0 Reactions
26 Replies
53K Views
Habari zenu wakuu. Natafuta mashine ya kupigia matofali ya interlocking. Vile vile kama kuna mtu anafahamu bei zake naomba anifahamishe. Nawatakia siku njema.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ukubwa wake ni futi 40 Bei yake ni 5.5mln Kontena liko n'a documents zake linapatikana dar es salaam kwa mawasiliano piga sim 0715591141 Ova
0 Reactions
0 Replies
4K Views
kama tangazo linavyoonesha mwenye kuuza Mac Book pro I core 7 ,iliyo katika hali nzuri anitafute bei iwe nzuri awe 4GB RAM ,HDD 500 Ahsante nawasilisha
0 Reactions
0 Replies
737 Views
Habari wanajamvi nadhan ntakua sijakosea kuleta huu Uzi huku ila kama nmekosea basi modes mtanisaidia kupeleja sehemu husika. Mimi ni muhandishi wa vitabu chipukizi. Kwakushirikana na waandishi...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari, Natafuta Dell Latitude E7270 iwe ni mpya au mtumba naomba uweke specification za chombo hicho ulichonacho (Dell tajwa), bei na eneo na Mawasiliana. Mie nipo Morogoro. asante.
0 Reactions
0 Replies
715 Views
Habarini ndugu wapendwa,kama mwana jf nimekua nikisikitika na kustaajabika sana kwa hii biashara ya simu za mikononi humu Jf Wengi wamekua ni matapeli na kuwauzia watu simu mbovu kwa kisingizio...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Tunauza na kubandika wallpapers majumbani, ofisini, cafè, dukani, saloon, etc wallpaper zetu ni za materials za hali ya juu (grade 1) ngumu ambazo zinakaa miaka 8 na kuendelea. Tuna design nyingi...
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Nahitaji kupata Vijana wa kitanzania wajasiriamali 5 tu walio very serious, niwape fursa ya kujiunga na mtandao wetu wa Young social entrepreneurs network mtandao huu ulikuwa na watu 10 tu. kwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ninahitaji gari tajwa hapo juu. Yaweza kuwa namba C au D. Kama unayo nzima kabisa tuwasiliane. Bei tutaelewana tu.
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Xiaomi mi max 32GB 6.44" Display RAM: 3GB Tip top condition Dual simcard Bei 380,0000 (negotiable) Call/whatsapp 0659782778
0 Reactions
1 Replies
577 Views
Tunazo tv za kila aina na size zote zipo Tunapatikana kkoo msimbaz na China Plaza FL ya pili ukiagza tunakuletea ulipo mda wowote sisi ni huduma kwanza malipo baadae free delivery boss led tv...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza! Inahitajika Ofisi yenye uwezo wa ku-accomodate watu 30+ na eneo la Warehouse (Godown).. Viwe sehemu moja! Mitaa pendekezi ni kuanzia Mikocheni hadi...
1 Reactions
2 Replies
800 Views
Back
Top Bottom