Ofa ya haraka kwa watumiaji wa Startimes tu

Ofa ya haraka kwa watumiaji wa Startimes tu

Issuna

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
3,204
Reaction score
7,653
Kuna mteja wa startimes kaja ofisini kwangu hapa,bahati mbaya au nzuri nimekosea namba ya acc no.yake ya kadi yake ya startimes,sasa nikawa nimefanya malipo kwenye akaunti tofauti.\

Bahat nyingine mbaya baada ya kufanya malip[o akaunt tofaut nikarudia kufanya tena malipo kwenye akaunt yake kisha akaondoka,huku nyuma napga simu startimes BAHATI MBAYA SASA hela hawarudishi ila wanachofanya ni kuhamisha malipo kutoa akaunt A to acc B sasa na mteja yule wa mwanzo nishamlipia.

KWA MWENYE STARTIMES AWEKE NAMBA NIMPE HII OFA...bora nimpe ofa mwana jf kuliko nisie mjua.
 
Wakuu hivi hawa jamaa unaweza kutumia ving'amuzi vyao mikoani kweli, nilikuwa natumia Dar lkn nimehamia mkoani sipati kitu
 
Back
Top Bottom