ilisha juniour
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 714
- 219
Habari wapendwa
Natafuta mtu mwenye mtaji mdogo kama mimi tuungane kufanya biashara mtaa wa kongo kariakoo pana meza inakodishwa na kwa siku inalaza faida kuanzia elfu hamsini na kuendelea, kwa maelezo zaidi unaweza kuni pm Kama unahitaji mimi mtaji wangu ni milioni moja mbia nnaemhitaji ni mwenye mtaji wa kuanzia laki saba