Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kipo Toangoma mtaa wa Masaki ,sio mbali na stand kuu ya Toangoma na ni karibu na shule ya sekondari, ukubwa wa eneo ni futi 60 kwa 70. Hakina hati na bei yake ni tshs million Saba...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Maverick supplies ni kampuni inayojiendesha kwa uuzaji wa mayai ya kienyeji na kisasa. Kwa sasa, stock ya mayai ya kisasa ipo ya kutosha sana. Kwa mwenye mahitaji ya mayai hotelini, shuleni...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Tunatengeneza Mobile apps zote (Android na iOS). Email us at info@buibuitech.com for more info or you can visit our website www.buibuitech.com to get a FREE quote. +255 673 602 513
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini wadau, Nahitaji mashine nzuri ya GPS ya bei ya kati wanayotumia wataalam wa survey kwa ajili ya kupimia viwanja,mwenye uelewa iliyo nzuri na zinapoizwa plz!!
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari wandugu anayeuza simu aina ya nokia ya tochi iwe org isiyo na tatizo lolote ajitokeze tufanye biashara.
0 Reactions
53 Replies
9K Views
Nyumba inauzwa ipo mbagala sabasaba kwa mpili bei in sh Million 12 maongezi yapo karibuni sana.
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Je wajua faida ya mafuta asili ya nazi? . Yanatengeneza Misuli ya mwili Hutibu maambukizi ya fangasi . Yanaotesha nywele Yanaondoa mba kichwani Mafuta bora zaidi kwa ngozi yako Yanalinda ngozi...
0 Reactions
15 Replies
10K Views
FUJITSU SIEMENS LBS6420 INTEL core 2 Duo@2.4Ghz 2Gb ram, 80Gb hdd 14.1" Screen size Dvd rw webcam,vga,3 usb ports,wifi firewire port,Blutooth,card reader windows 10 pro...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zanu ndugu wasomaji katka hii app. Tunayo furaha kubwa sana kuwafikishia ujumbe huu. Kutokana na wimbi kubwa la watu wanao jivika taji la ufundi ikiwa awna professional na kaz guys, sasa...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Kiwanja chenye ukubwa wa 25 kwa 25 ,kinauzwa , Kiwanja kipo kibamba . Kinaumbari Wa m500 ,kutoka morogoro load , katembea kwa miguu mpaka kilipo ni dk 20 /30. gari inafika bila shida. Umeme...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
okoa biashara yako sasa kwa kutumia e-lectronic marketing baina ya biashara na mteja. 1.Natoa huduma ya bulk sms (ujumbe kufika kwa watu wengi) hadi watu 600,000 kwa siku moja 2.Nauza database za...
0 Reactions
6 Replies
895 Views
Mapaambano yanaendelea digital market ndio him tuwasiliane sana kwa. Wanahohitaji kuprint flana kwa bei nafuu yani yakuhangushiaaaaa mawasiliano ni 0653262105
0 Reactions
1 Replies
565 Views
Subaru mpya kabisa inauzwa kwa bei nzuri,nyaraka za umiliki zote zipo. AINA YA GARI: Subaru Legacy saloon LOCATION; Dar es salaam CC; 2000 MWAKA; 2004 REG NO; T 353 DHX BEI; 11.6 million (Maongezi...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
D-link switch nauza mobile 0658175728 Ni mpya
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau nataka kuanzisha duka la nguo za mtumba nimepata chimbo moja matata sana,nahitaji kujua wapi naweza kupata "enga" sijui kama ni kiswahili fasaha.Nahitaji kama 700-1000 hivi,nipeni chimbo la...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jambo ndugu...nahitaji Subaru WRX Impreza ya 2003 au 2004. Ikiwa Dar itapendeza zaidi
0 Reactions
3 Replies
875 Views
Habarini, Wapi nitapata GPS mashine kwa ajili ya kazi za survey na kupima viwanja na mashamba ya bei ya kati tu. Je aina gani ni nzuri ninayoweza kuanza nayo?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa mwenye laptop coi 5 au coi 3 ram 8 au nne aje whatup namba 0759212578 shart awe dar
0 Reactions
5 Replies
803 Views
Habari zenu? Nauza simu touch screen model:it1408. haijachoka wala haina mkwaruzo wowote; .Ina screeun protector .ina cover yake .ina charge yake .ina ear phone yake NB:Ina play...
0 Reactions
43 Replies
3K Views
Nauza memory card 32GB kwa elfu selasini na tano tu (TZsh 35,000/=) kwa mawasiliano piga simu namba 0654250816 na 0769345032.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…