Nyumba ya kupanga Arusha-Ngulelo

denoo49

denoo49

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Messages
6,028
Likes
6,060
Points
280
denoo49

denoo49

JF-Expert Member
Joined Mar 29, 2011
6,028 6,060 280
Wakuu, poleni na majukumu.
Kwa anayehitaji nyumba ya kupanga, maeneo ya Ngulelo kituo cha dala dala, nyumba ipo hatua 15 to 20 kutoka kituo cha dala dala Ngulelo, bara bara kuu ya Arusha to Moshi.

AINA YA NYUMBA
Ni nyumba inayojitegemea, ina vyumba viwili vya kulala, Sebure, Bafu na Choo kwa ndani, jiko lenye kabati zake full.

Maji na umeme unajitegemea.

Parking ya kutosha na ulinzi muda WAOTE.

Bei Laki 250. HAKUNA DALALI, na ukiipata hutojuta, bali utatoka unahamia kwako kama una malengo.
Kwa mwenye uhitaji nitafute pm or inbox.
Muwe na siku njema.
 
Mparee2

Mparee2

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2012
Messages
712
Likes
402
Points
80
Mparee2

Mparee2

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2012
712 402 80

Kiongozi cheki inbox, Kama nyumba bado ipo
 
Mparee2

Mparee2

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2012
Messages
712
Likes
402
Points
80
Mparee2

Mparee2

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2012
712 402 80
Naomba utoe dirrection please
 
M

Mlima meru

Senior Member
Joined
Dec 30, 2012
Messages
115
Likes
2
Points
35
M

Mlima meru

Senior Member
Joined Dec 30, 2012
115 2 35
Hiyo nyumba naitaka japo nipo safari Kwa sasa
 
denoo49

denoo49

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Messages
6,028
Likes
6,060
Points
280
denoo49

denoo49

JF-Expert Member
Joined Mar 29, 2011
6,028 6,060 280
Unarudi lini?
 
K

KIMATIRA

Senior Member
Joined
Dec 3, 2015
Messages
185
Likes
141
Points
60
K

KIMATIRA

Senior Member
Joined Dec 3, 2015
185 141 60
iko laki mbili kama inalipa Nipigie 0653533784
 
S

Suzan geofrey munis

New Member
Joined
Feb 7, 2018
Messages
3
Likes
0
Points
3
S

Suzan geofrey munis

New Member
Joined Feb 7, 2018
3 0 3
Hiyo nyumba naitaka japo nipo safari Kwa sasa
Jaman mim natafuta chumba single kiwe na umeme maji pia kiwe ndani ya geti kodi isizid 50,000 kiwe maeneo ya mianzin au tripleA Aaliyenacho anitafute 0746603531
 
yorkshire

yorkshire

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2016
Messages
1,368
Likes
1,260
Points
280
Age
37
yorkshire

yorkshire

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2016
1,368 1,260 280
ngulelo mbali ingekuwa kaloleni,sekei,mianzini,makao mapya au sakina hpo sawa
 
Forum statistics

Threads 1,273,535
Members 490,428
Posts 30,484,387