Mkuu mimi tena ongea na mleta uziShunie niunge navyo hivyo vifurushi
Fanya mwezi banaila sio wote wanavyo ivyo
Mi nataka uniunge weweMkuu mimi tena ongea na mleta uzi
Me siwezi hizo mambo me nimeungwa na voda wenyewe moja kwa moja nina offer ya kwangu tu na line yangu wemenipa offer ya chuoMi nataka uniunge wewe
Hata mi wamenipa offer ya chuo ila kwenye hiyo YA KWAKO TU napata GB 10 kwa elf 10 na ni siku 15Me siwezi hizo mambo me nimeungwa na voda wenyewe moja kwa moja nina offer ya kwangu tu na line yangu wemenipa offer ya chuo