Natafuta single Room Arusha

Linamo

JF-Expert Member
Jan 12, 2011
9,976
24,496
Wakuu natafuta chumba maeneo ya Mianzini,Sakina au sanawari.
 
Vipi matejoo utakaaa mana kipo 25000 kina umeme na geti lipo la mbao wapangaji saba
 
NATAFUTA CHUMBA MAENEO YA MIANZINI KARIBU NA BARABARA YA LAMI KIWE NDANI YA GETI KUWE NA UMEME NA MAJI CODI ISIZID ELFU 50 PLZ FIND ME 0746603531
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom