Malingumu
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 616
- 433
Wandugu habarini,
ni hivi kuna biashara soon naianza na nina uhakika nayo kuwa itakiki, ni ya kusambaza bidhaa hapa jijini Arusha, sasa katika kusambaza inahitaji gari...nimepiga hesabu gari ya kukodi itanigharimu, nimewaza kama ningepata ya kukopa halafu nikawa nalipa taratibu taratibu ingekuwa afadhali kwangu...
kama kuna anayejua kama jambo hili linawezekana na namna ya kufanya ili nifikie hilo lengo langu naomba ushauri wake....
asanteni...
target yangu ni SUZUKI CARRY... maana hii kidogo iko chini kwa ulaji wa mafuta...