Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kwa wale wafugaji wa kuku walioko Arusha tuwasiliane pm kama uko tayari kwa biashara
0 Reactions
1 Replies
792 Views
Maziwa fresh na mtindi ya ng'ombe wa kienyeji pure Hakuna kuweka maji hapa na ruksa kupima kama yana maji napokea order kuanzia lita tano naleta mpaka ulipo bei mtindi lita...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Ni kampuni bora kabisa tunatoa huduma zetu vizuri na warrant ya miaka mitatu yaani pakitokea tatizo tutafanya marekebisho bure ndani ya miaka mitatu ni cctv camera, za wire na wireless, pamoja na...
0 Reactions
2 Replies
803 Views
Naomba kuuliza kwa wale mafundi seremala na wenye uelewa wa karibu na mafundi seremala, ni wapi wanauza viti vya kuchunga mahususi kwa ajili ya kanisani na maalumu na wachungaji? Naomba mwenye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kituo chetu kimesajiriwa na kifaulisha na kuwezeshwa watu mbalimbali kufikia malengo yao. Mwaka jana wote watakajiunga na kusoma kwetu wamepata credit zao. Tupo Upanga Mashariki masomo ya asubuhi...
0 Reactions
0 Replies
780 Views
Baada ya kufanya vizuri matokeo ya QT na Resitters mwaka 2017, sasa tunaendelea kusajili wanafunzi wapya wa QT na Resitters, njoo ukutane na walimu wazoefu na wenye taaluma za ualimu. Tupo Upanga...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Kwa mawasiliano Nipigie au whatsap +255718888212 0625577106
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Tunatoa huduma zifuatazo. 1. Preparation of concept note for academic researches. 2. Preparation of academic research proposals. 3. Preparation of research findings and report...
0 Reactions
3 Replies
835 Views
Wakuu nimeamua kujikita kwenye kilimo cha mihogo na mahindi,ninampango wa kuuza mahindi mabichi shambani Doubt yangu ni soko naomba anayejua soko la uhakika anijuze Shamba liko njia panda segera tanga
0 Reactions
0 Replies
612 Views
Suluhisho Lako Lililo Karibu Yako Kwa Utatuzi Wa Kiufundi Na Ushauri , Mafundi (Technician ) Na Wasimamizi (site foreman) Tulio Nao Ni : 1. Umeme (Electrical Installations) 2. Ujenzi Majumba...
0 Reactions
0 Replies
650 Views
Shamba lenye uzio la ukubwa wa heka 2.5, lipo Dar - Madale - Kisauke likiwa na mabanda ya kufugia kuku yaliyokamilika kwa vifaa vyote kwa kuku wanaoweza kufikia elfu kumi linakodishwa. Eneo ni...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Nahitaji simu mpya ya I phone nina 440k mwenye anauza simu anicheki Pm
0 Reactions
5 Replies
905 Views
Wakuu natafuta bajaj iliyo kwny hali Nzuri nimpe kijana wangu afanyie kazi. Mwenye nayo Njoo na Bei tafadhali. Nipo Dar. Ahsanteni
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wapendwa Natafuta mtu mwenye mtaji mdogo kama mimi tuungane kufanya biashara mtaa wa kongo kariakoo pana meza inakodishwa na kwa siku inalaza faida kuanzia elfu hamsini na kuendelea, kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna mteja wa startimes kaja ofisini kwangu hapa,bahati mbaya au nzuri nimekosea namba ya acc no.yake ya kadi yake ya startimes,sasa nikawa nimefanya malipo kwenye akaunti tofauti.\ Bahat...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Tunakodisha Chafing dishes (Food Warmer), Electric soup kettle warmer, Jiko la Nyama Choma & Mishikaki (Roast Beef & Barbeque stove) Sufuria (Cooking Pot), Mahema(Marquee/Tents), Viti...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
MAZIWA MTINDI 2500 FRESH 2000 UNARUHUSIWA KUPIMA KAMA YANA MAJI TUNALETA MPAKA ULIPO KUANZIA LITA 5 NA KUENEDELEA TUNAPATIKANA MBEZI YA KIMARA 0787 429 104 DSM TZ.
0 Reactions
2 Replies
713 Views
Naweza kufanya kazi hiyo ya kuandika makala za siasa, dini, nk kwenye magazeti nk pia uchambuzi 0787 429 104
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Karibuni nyote makanisa watu binafsi makampuni tunatengeneza vyombo vya umeme kama tv, subwoofer, redio za gari na kawaida, booster, ampilifaya, equalizer, crossover, spika...
0 Reactions
0 Replies
789 Views
mimi ni mkulima mdogo mdogo nafanyia shughuri zangu za kilimo mkoan Morogoro wilaya ya Mvomelo maeneo ya manungu tulian (karibu na kiwanda cha Mtibwa suger), nimelima mpunga heka sita (6) na...
0 Reactions
39 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…