Nahitaji meza ya kawaida ya mbao yenye futi sita

Himidt Lengo

JF-Expert Member
Jan 4, 2018
307
244
Wakuu Nahitaji meza ya kawaida ya mbao yenye urefu futi sita, upana futi 2.5 .... 3.5, kimo km futi 3 (ile ambayo mtu akikalia kiti cha kiofisi basi anaweza kuandika au kufanya mambo mengine vzr bila shida).Ninahitaji na benchi mbili zenye urefu Wa futi 6.Nina elfu thelathini tuu, nipo Arusha mtaa Wa Unga limited.Kama unaweza kunisaidia hizo samani tuwasiliane kwa 0759641184.Muwe na mda mwema.
 
kalia mawe.30k.uko timamu kweli ww
 
Tupe mrejesho mkuu, umeshapata meza na mabench
 
Rabda ningeleta mada inayohusu mgegedano au ningekuwa mdada nikapost humu kwamba "nahitaji mchumba" ndo ningepata wachumba mpaka Wa ziada, lkn vitu vingine watu hawana mda navyo.Chenga sana yan
 
Mkuu hebu jitafakari kwanza kwa hiyo bei yako!
 
Kuna mdau alimpa ushaur akalie mawe, nafikir ushaur atakuwa anaufanyia kazi huo ushaur huku akimsubiri fundi aje
 
Back
Top Bottom