ELIMU PESA
Member
- Jul 22, 2017
- 62
- 36
Pikipiki aina ya Boxer kama inavyoonekana kwenye picha inauzwa kwa bei ya shilingi laki saba (700,000/=). Ni nzuri ila haina betri hivyo inawashwa kwa kukanyaga (kick). Tofauti ya hilo aina tatizo lolote kama ujuavyo/usivyojua betri ya pikipiki ni sh. 32, 000/= tu.
Muuzaji yupo Morogoro mjini kama inavyooneshwa hapa chini. Sababu ya kuuza ni maisha kuwa magumu hivyo muuzaji anahitaji kiwango fulani cha pesa ili atatue tatizo fulani.
NB: Vibali vyake vipo.
Asante!
OPTAE COMPANY LIMITED
P.O.BOX 6075
KIWANJA CHA NDEGE/PLOT NO.215
MOROGORO-TANZANIA.
MOBILE: 0766729127/0713935652