Kwa wataalam wa kutengeneza simu mkoa wa Dar

Kwa wataalam wa kutengeneza simu mkoa wa Dar

mysimu

Senior Member
Joined
May 2, 2017
Posts
151
Reaction score
44
Simu yangu hii NOKIA 6760s-1 yaku slide imevia wino kwenye screen. Naomba kupata fundi wa kunibadilishia kio kingine iliniendelee kuitumia simu yangu.
Ni PM kama msaada utakua nao.
Asante.
af9433c68f5a7faf8c368a9a22ab2c28.jpg
7aaefb391c49b8a90775348d7e5d1086.jpg
31645e34a349ed2d9ba3b82f37620f99.jpg
e7e0a4067bf8af6838b4569186b15b6e.jpg
 
jipange ununue nyingne tu maana inaweza gharimu pesa nyingi
 
Back
Top Bottom