Msaada; Wapi nitapata nguo za watoto na wanawake karume?

Msaada; Wapi nitapata nguo za watoto na wanawake karume?

Glas

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Posts
1,242
Reaction score
1,190
Wakuu, kwanza namshukuru MUNGU nimeingia bongo Leo baada ya muda mrefu kidogo...shida yangu ni Moja naomba mnisaidie nahtaji kwenda karume KESHO asubuhi sana...sasa naomba mnisaidie machimbo yepi ntapata nguo nzuri za WATOTO na wamama(kina dada)
 
Karume wala siyo pakubwa pa kusema utafute chimbo...

Labda kama ungekua unaulizia kariakoo....

Cc: mahondaw
 
Karume wala siyo pakubwa pa kusema utafute chimbo...

Labda kama ungekua unaulizia kariakoo....

Cc: mahondaw
Plan yangu nikitoka karume basi nipande kariakoo...so naomba tu mnisaidie
 
Ahaaaa....nilikuwa sijasoma jina lako
 
Mi nadhan ungeanzia sokoni boma Ilala halafu ndo ukaenda karume
 
Back
Top Bottom