Nina shamba la ekari 2.5 la mitiki yenye umri wa miaka kumi na tano (15) mkoani Morogoro wilaya ya Kilombero. Circumference ya miti ina range kati ya cm 50 na 100. Tunauza kwa kipimo cha cubic meter. Bei ya cubic meter moja ni maelewano. Karibu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.