Political Engineer2
Senior Member
- Feb 23, 2018
- 149
- 117
Nafahamu, Life is all about personal, choice and priority, lakini kwa wastani kuna maamuzi yanayojenga na hata kila mtu ukimwambia anakuelewa.
Kwa mfano Mara nyingi ukimwambia mtu kwamba umenunua gari atakuuliza je una kiwanja? Lakini ukimwambia umenunua kiwanja atakupongeza moja kwa moja hata bila kutaka kujua kama una gari, kwa nini? Kwa sababu hakuna asiyejua umuhimu wa kiwanja.
Najua unaweza kupata gari baadae ukanunua kiwanja lakini jiulize utapata kiwanja kwa bei ya sasa,je utapata kiwanja Eneo la karibu? Lakini gari hata miaka ijayo unaweza lipata kwa bei ya sasa au chini ya hapa.
Lakini pia umuhimu wa gari una muda maarumu na unaambatana na kitu kinachitwa "cost implications".
Chonde chonde kwa uchumi wetu huu ukipata ka million tano hivi kashike kiwanja kwanza,nenda kimbiji,kifuru,maramba mawili,kivule,msakuzi,bunju au popote pale ili mradi kuna public transport au kuna future ya kuwepo usafiri wa umma.
Vijana mnaoanza kazi hivi sasa please ikibidi omba mkopo baada ya kuwa confirmed ili uchukue kiwanja hata kama 20 kwa 20 kitakufaa .
Ukipuuza ushauri wangu utakuja kujuuta,ujenzi hata kama una laki tano unaanza msingi taratibu na ukishaanza tu commitment inakujia bila kupenda .
Ni hayo tu kwa Leo.