NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 12,322
- 10,914
Wakuu natafuta kioo cha smartphone viwa max 5 mwenye nacho wakuu.0717374641
NIMEKOSA WAZEE NDIO NKAULIZIA HAPAnenda kariakoo
DADAVUA MKUU NAWEZA ENDA WAPI PALE KKOOnenda kariakoo
Mi nnachoNIMEKOSA WAZEE NDIO NKAULIZIA HAPA
kama kariakoo umekosa iyo sio simu ndugu yangu maana sehemu ninazozijua mimi alafu umekosa duhNIMEKOSA WAZEE NDIO NKAULIZIA HAPA
ni kimeo cha mtu,kwa hakika sio simu ila mwenyewe anakipendakama kariakoo umekosa iyo sio simu ndugu yangu maana sehemu ninazozijua mimi alafu umekosa duh
endelea kupambanani kimeo cha mtu,kwa hakika sio simu ila mwenyewe anakipenda
shilingi ngapi mkuuMi nnacho
50,0000shilingi ngapi mkuu
mkuu 3500050,0000
45000mkuu 35000
nakutafutia nakujulisha soon45000
MKUU NIMEPATA ILE 45000 NAKUPATAJE KUHUSU KIOO CHA VIWA MAX 545000
mkuu directionviwa kariakoo wana ofisi zao mtaa nimesahau kila uchafu was viwa mule hukosi