Msaada: Wanapouza "Safe" a.k.a Vibubu

Msaada: Wanapouza "Safe" a.k.a Vibubu

ID Fake

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2017
Posts
503
Reaction score
778
Salaam, kama kichwa cha habari kinavyojieleza; naomba kuelekezwa mahali panapouzwa hivyo vifaa vya kuhifadhia fedha kwa hapa Dar es Salaam.

Nahitaji safe original kama hizi zinazoonekana pichani, na sio zile fekero za vichochoroni!

Natanguliza shukrani.
a58ec8cb86eb19c41075b8238081b5ef.jpg
70c52038626aa395c35d34aefc8c09d9.jpg
 
Hahah!! Hiyo iliomwaga pesa ndio maarufu sana
 
Hahah!! Hiyo iliomwaga pesa ndio maarufu sana
Ila usalama zero.
Kwa mfano ukitokea moto; chenyewe na hizo noti vyote vinakuwa kuni!
[emoji16][emoji16]
 
Ila usalama zero.
Kwa mfano ukitokea moto; chenyewe na hizo noti vyote vinakuwa kuni!
[emoji16][emoji16]
Kumbe hizo unazohitaji ikitokea moto mzigo unakua salama?
 
Back
Top Bottom