Mbunifu 11
Senior Member
- Mar 20, 2015
- 104
- 52
Wakuu salama,
Hivi unaweza kutofautisha vipi kati ya simu samsung original na fake?
Hivi unaweza kutofautisha vipi kati ya simu samsung original na fake?
thumb up broSimple tu weka alama hizi *#0*# itafunguka vitu vingi kwanza kuna test za rangi, nenda kwenye vibration ukiona inavibrate continuously ujue hiyo ni halisi, ukiona inakata baada ya mtetemo (vipindi vipindi) hiyo fake, yapo mengi hapo utayajua ukifungua ukurasa huo kwa alama hizo
Hii asithubutu kabisa. Siku hizi kuna copy zinatoa mpaka kimbwaSimple tu weka alama hizi *#0*# itafunguka vitu vingi kwanza kuna test za rangi, nenda kwenye vibration ukiona inavibrate continuously ujue hiyo ni halisi, ukiona inakata baada ya mtetemo (vipindi vipindi) hiyo fake, yapo mengi hapo utayajua ukifungua ukurasa huo kwa alama hizo
Ingia google. Andika imei info. Ingia kwenye website yao. Utaona sehemu ambayo inatakiwa uingize imei.Wakuu salama,
Hivi unaweza kutofautisha vipi kati ya simu samsung original na fake?
Mkuu! ahsante kwa huo ufahamu ila naona kutofautisha fake na og ni ngumu sana labda uwe umezoea kushika og, lakn kwa vigezo ulivoweka sidhani, simu niliyonayo naiona ni fake lkn kwa kuweka hizo *#0*# inavibrate vizuri tuu kama ulivoelekeza. kingine labda, iweje cm mpya itoke china iuzwe lak 5 na simu hiyohiyo kwa kiasi hicho kwa ulaya unapata used,mpya kama hiyo ni milion na zaidi.Simple tu weka alama hizi *#0*# itafunguka vitu vingi kwanza kuna test za rangi, nenda kwenye vibration ukiona inavibrate continuously ujue hiyo ni halisi, ukiona inakata baada ya mtetemo (vipindi vipindi) hiyo fake, yapo mengi hapo utayajua ukifungua ukurasa huo kwa alama hizo
Hilo ni jepesi Original haimaanishi bei, kuna kitu kinaitwa Standard ,hii kila upande wa dunia una standard zake, European Standard, Asia Standards etc hivyo mazingira hayo hupelekea hata pricing kutofautiana kati ya soko na soko, nitolee mfano camera canon mark iii Uk inauzwa pounds 2000 lakini US inauzwa dollar 3000 lakini ukifanya exchange hapo unakuta kununua marekani ni cheaper than Uk, vivyo hivyo nikinunua south Afrika pia bei tofauti, so kikubwa hiyo ndiyo njia ya testing kwanza kama unaona kwa jicho pekee sijuiMkuu! ahsante kwa huo ufahamu ila naona kutofautisha fake na og ni ngumu sana labda uwe umezoea kushika og, lakn kwa vigezo ulivoweka sidhani, simu niliyonayo naiona ni fake lkn kwa kuweka hizo *#0*# inavibrate vizuri tuu kama ulivoelekeza. kingine labda, iweje cm mpya itoke china iuzwe lak 5 na simu hiyohiyo kwa kiasi hicho kwa ulaya unapata used,mpya kama hiyo ni milion na zaidi.