Kiwanja kinauzwa Madale nguzo mbili

Mbunifu 11

Senior Member
Mar 20, 2015
104
52
Habari zenu wakuu.
Ninauza kiwanja changu, kiko Madale, karibu na kituo kipya cha Polisi eneo maarufu kama Madale nguzo mbili, ni karibu sn na barabara kuu ambayo itawekewa lami hivi karibuni, kipo kwenye mchakato wa kupimwa pia huduma zote za kijamii zipo, ni very potential.kwa mwenye kuhitaji, maelewano kidogo yatakuwepo.

Kina ukubwa wa 24 kwa 23
Bei ni million 13.

Nahitaji walio serious tu jamani, Njooni inbox tuyajenge
 
Mkuu kwa hiyo kama unaelekea kwa kawawa, ni mkono wa kulia au wa kushoto? ukiwa pale kituo cha polisi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom