kancher
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 472
- 472
Habari wakuu.
Nipo Arusha kwa sasa, nahitaji kununua laini tajwa hapo juu kwaajili ya kuanza biashara ya huduma za kifedha.
Ukiwa Arusha itakuwa nzuri zaidi, tufanye biashara na kukuhitaji kwa msaada wako pindi tatizo litakapojitokeza kupitia laini hizo za kufanyia kazi.
Pia nauza laptop aina hp elitebook 8440p.
price 350k. Nimeshindwa kuattach picha app ya jf haipo ok. Mwenye kuhitaji nipm namba ya cm tuwasiliane zaid kibiashara.
Ni pm kwa mawasiliano zaid.