Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Application iliyopo playstore na website iliyokuwa na full domain zinauzwa bei rahisi application ina downloads 50,000+ Mawasiliano:whatsapp +255685837875 Call:+255685837875...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nauza mbwa wa kizungu bei ni laki nne na nusu ila mazungumzo yapo kwa mawasiliano zaidi nichek kwa number hii.0719708708karibun
0 Reactions
12 Replies
14K Views
Simu yangu hii NOKIA 6760s-1 yaku slide imevia wino kwenye screen. Naomba kupata fundi wa kunibadilishia kio kingine iliniendelee kuitumia simu yangu. Ni PM kama msaada utakua nao. Asante.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Alionacho icho kitabu plz anichek kw namba zifuatazo tufnye bihashsra 0679292962 0629039905(whatsup)
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Hbr zenu naweza pata betri mpya ya Samsung S3 nipo arusha
0 Reactions
0 Replies
616 Views
Pikipiki aina ya Boxer kama inavyoonekana kwenye picha inauzwa kwa bei ya shilingi laki saba (700,000/=). Ni nzuri ila haina betri hivyo inawashwa kwa kukanyaga (kick). Tofauti ya hilo aina tatizo...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Habari za asubuhi wanajamvi Nataka kufungua Salooni ya kiume (barber shop) nimeenda Mwanza kuulizia vifaa hivyo vya saloon nimekuta vinapunja sana naomba kwa mtu anayejua duka ambalo naweza...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wanajamvi? Kwa wale wanaofahamu makampuni au wajasiriamali wanaotengeneza mashine za kumenya na kukausha mhogo (cassava peeling/drier machine) anielekeze ama anipe contact zao please...
0 Reactions
11 Replies
8K Views
natafuta suzuki escudo manual. mwenye nayo aje inbox please.. Sihitaji madalali tafadhali
0 Reactions
2 Replies
886 Views
Wakuu Nahitaji meza ya kawaida ya mbao yenye urefu futi sita, upana futi 2.5 .... 3.5, kimo km futi 3 (ile ambayo mtu akikalia kiti cha kiofisi basi anaweza kuandika au kufanya mambo mengine vzr...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Deleted by author
0 Reactions
0 Replies
640 Views
Mambo mwenye flat screen nch 22 - 24 naomba tuwasiliane nahitaji sana bajeti yangu ni 200,000 mkononi plz serious kama unayo nicheki 0654846084 kama sipatikani naomba unipm
1 Reactions
0 Replies
488 Views
Wakuu, kwanza namshukuru MUNGU nimeingia bongo Leo baada ya muda mrefu kidogo...shida yangu ni Moja naomba mnisaidie nahtaji kwenda karume KESHO asubuhi sana...sasa naomba mnisaidie machimbo yepi...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Kiwanja chenye ukubwa wa Mita 30 kwa 17 kwa 20 chenye nyumba mbili zilizo kwenye lenta kinauzwa.Nyumba ya kwanza ina vyumba vitatu vya kulala kimoja selfu,choo,sebule,dining na jiko Nyingine ina...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama inavyoonekana kwenye picha, ni nzima imetumika kidogo sana. Bei Tsh, 2,400,000 Uwezo wa kutotolesha maya 1,500 kwa mara moja Ufanisi ni 95% tegemea na ubora wa mayai yako Nishati inayotumia...
0 Reactions
2 Replies
981 Views
Habarini Ndugu, Nlikua naomba kufahamishwa bei ya matanki ya maji ya lita 1000 na 2000. Naomba nifahamishwe kuhusu product za simtank,polytank na kiboko. Nawasilisha
0 Reactions
0 Replies
814 Views
Kwa wale wanaohitaj fundi cm nipo sina ofisi Kama utakua na ofis na unahitaj fund mi nipo tayar kufanya kazi muda wowote!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
IPO katika hali nzuri...nicheki pm tufanye biashara...nimefunga biashara ya stationery. Mashine type ni canon ir2034
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wanaforum napenda kuwasilisha na naombeni msaada katika hili, nina ndoto za kununua tractor ila sina kipato kikubwa kiniwezeshacho kumiliki jipya ila used tena yale ambayo yametelekezwa na wale...
0 Reactions
0 Replies
795 Views
0784221187 nitafute tufanye biashara wadau
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…