Mashine za kushonea za mkono

Mashine za kushonea za mkono

Hamilock69

Member
Joined
Dec 28, 2017
Posts
6
Reaction score
2
Wapendwa, kwa anaefahamu ninapoweza kupata mashine za kushonea za kutumia Mkono wanapouza kwa bei ya jumla, unahitaji kufanya biashara.

0786133399
 
Sema wewe unahitaji kufanya biashara siyo sisi
 
Dah nliziona bangarole hizi sema nikuagizie nauza elf 30rejareja ama 25 jumla
 
Dah nliziona bangarole hizi sema nikuagizie nauza elf 30rejareja ama 25 jumla

Weka picha mkuu.

Na hiyo bei ni mpaka inafika hapa au kuna malipo ya ziada...?.

Na pia, mtu akipata bidhaa ndio anakulipa au anatoa kwanza pesa then bidhaa baadae...?

Inachukua muda gani kufika kwa mteja...?

Ahsante Sana.
 
Hiyo hapo, nlibakiza moja tu maana nlirudi nazo kama 60 hivi
images.jpeg
 
Back
Top Bottom