Used smartphone kutoka Dubai na Europe zinauzwa.
Infinix zero 4- bei 400,000/=
Infinix zero 4 Plus bei 450,000/=
Tecno K7 bei 250000/=
Mawasiliano 0715808028.
Natafuta soksi za pundamilia. Za mchanganyiko wa rangi ya blue na nyeupe.
Au kijani na nyeupe.
Kwa bei ya jumla mwenye
nazo
Tuwasiliane 0714306015
AU pm
Naambatanisha na picha za mwonekano wake...
Bei ni Tsh/=30,000 nimeshindwa kuweka picha ila tembelea => www.facebook.com/abicleveryohlo hapo utaona tangazo ambalo liko na picha kamili ila ni watu wa MKoa wote wa Tanga Tu Tuwasiliane 0624101615
Sisi ni wajasiriamali wadogo tunaotengeneza, kufundisha na kuuza Mikoba ya Culture.
Bei ya jumla ni 40,000/=
Bei ya rejareja ni 45,000/=
Dar es Salaam tunapatikana Karume, Machinga Complex...
Najua mna uhitajj wa Notes za Masomo mbalimbali. za sekondari, hili ni suluhisho
Nawaalika Kutembelea RAJ MPELLA BLOG, kwa ajili kupata notes za masomo mbalimbali ya sekondari na pia materials...
Wadau,kwa wale wanaopenda kufungua frem Mpya za biashara jipatieni shelves kwa bei ya kutupa.ziko shelves angle 80 kwa bei ya tsh 500/= kwa kila mmoja.zipo pia soft board 35 (urefu 124cm upana cm...
Nauza sofa la ngozi la mtu mmoja kwa bei ya 200,000
Sofa bado zuri halina ubovu wowote wala mchubuko wowote
Nipo Dar es salaam kwa anaehitaji nitafute kwa namb >> 0693289203
habari wadau...
tunafua nguo za aina zote kwa mashine za kisasa... tunazifata kwako na kuzifua na kuzirudisha kwa gharama ya kawaida kabisa..
Bei ni 500 kwa nguo za kawaida, nguo ngumu kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.