Davis Crossbreeding
New Member
- Mar 19, 2018
- 2
- 3
DAVIS CROSSBREEDING
Ni mzalishaji wa vifaranga chotara wa kuku .( wanapatikana kwa idadi yeyote)
Ni kuku wanaovumilia magonjwa.
= Wantaga mayai mengi.
= Wanastahimili magojwa.
Vilevile vifaranga wa kanga wapo
= Bata mzinga
= Bata bukini
= vifaranga wa Malawi,yellow Bufon,Izrael, sasso
Vile vile tunatoa huduma ya kuangua mayai kwa wateja wote.
Kwa mawasiliano zaidi:-
0762727095