Kiwanja cha miguu 22 kwa 40,mbezi kwa msumi 'C'

DONALD

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2010
Posts
275
Reaction score
35
Kiwanja kipo kwenye process za kupewa hati,gharama za awali za upimaji zimeishafanyika,kwa 15M tu..nicheki 0714 345 432/0685 779 278..ni msumi 'C' kipo karibu barabara na pia stand kuu..!
 
chukua 6M IPO MKONONI...
 
kikipata hati uni-pm mzee
 
Kiwanja kipo kwenye process za kupewa hati,gharama za awali za upimaji zimeishafanyika,kwa 15M tu..nicheki 0714 345 432/0685 779 278..ni msumi 'C' kipo karibu barabara na pia stand kuu..!

Huo ni mtego wa panya jo! Karibu na barabara tena na bomoabomoa hii kwa watu ambao hawakutupigia kura?!
 
...Chief si kwa maana ya barabara kabisa,la hasha..! unapita nyumba 2 hivi ndo mkeka upo hapo...!!
Karibu tuzungumze..!
Maana wengi wameshang'atwa na bomoabomoa!
 
....Hii inatakiwa iwe bayana kwenye maelezo ya muuzaji...kipo jirani na barabara,hakipo barabarani chief...!
 
Dar tunasikia road reserve ni 60mtr either side of the road! Ndio maana nagwaya neno "karibu na barabara"!
 
Wakuu hata mim nina kiwanja changu maeneo ayo ayo ya mbezi msumi karibu na shule ya msimgi mbopo kina ukubwa wa 20*23 miguu kinauzwa kwa 6milioni mwenye kuhitaji anicheki pm tuyajenge kiwanja ni changu hakuna udalali
 
Back
Top Bottom