Habari za asubuhi wana jukwaa,nimekua nikitafuta hivi vidude kwa muda mrefu sasa
Vinaitwa Rubik's Cubes naomba muongozo kwa yeyote anayejua kwa hapa Dar Es Salaam ninaweza kuvipata duka gani au sehemu gani.
Nashukuru mkuu nitatembelea pale kuvitafuta,Nenda GAME mlimani city....its an intereating game bro! It took me a month to figure it out, but i have seen videos in youtube where kids complete it within 40seconds
Mcheki huyu anauza bei chee 0743502618Naitafuta sana hii kitu
Mcheck huyu anauza bei rahisi 0743502618Habari za asubuhi wana jukwaa,nimekua nikitafuta hivi vidude kwa muda mrefu sasa
Vinaitwa Rubik's Cubes naomba muongozo kwa yeyote anayejua kwa hapa Dar Es Salaam ninaweza kuvipata duka gani au sehemu gani.
Poa hamna nomaMcheki huyu anauza bei chee 0743502618
Hivi inaweza cost shing ngapi mkuu..Nenda kwenye maduka ya wachina pale mlimani city au hapa karibu na shopper's plaza