Kitabu cha mafunzo ya kuandaa chakula cha mifugo - Hydroponics Fodder sasa kipo mtaani. Pata nakala yako ulipo - Tupigie simu 0655 533 543. Rejareja Tshs. 5,000/= Kwa wanaohitaji kwa jumla Tshs. 3,000/= kuanzia copy 15 na kuendelea.
MAFUNZO HAYO KWA VITENDO YANAENDESHWA KWENYE KITUO CHA MWASENDA DEVELOPMENT INTERVENTION (MDI)
Hapo ni kituo cha NGO inayojishughulisha na huduma kwa jamii; moja ya shughuli zake ni kuendeleza teknolojia mbalimbali. Kuanzia mwezi April 2018 tutakuwa na program ya kuwafundisha wajasiriamali - wafugaji namna ya kuzalisha Hydroponic Fodder kwa ajili ya kupunguza gharama za malisho kwa zaidi ya 50%.
Vituo vyetu:
Mwanza: Nyasaka Centre Karibu na Buzuruga Bus Stand.
Nzega: Nkinga karibu na hospital.
Kwa mawasiliano wazeza ku-PM
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.