Aluatanitwentipa
Member
- Feb 27, 2018
- 13
- 9
Natafuta chumba na sebule vya kupanga maeneo ya kimara,isiwe mbali sana na barabara . Self, tiles,maji, umeme wa kujitegemea,ikiwa kwenye fence itapendeza zaidi,
Wewe unavyo vya bei gani?budget yako sh ngapi?
elfu 80,000 kwa mweziWewe umeulizwa bajeti yako,jibu utafutiwe usianze maswali.